Changa

donations1-sml

Unaweza kusaidia Shirika la Africa Nature kutoa huduma muhimu na suluhu ya changamoto za usimamizi wa mazingira na mali asili zinazokumba jamii Africa kwa kupoitia njia zifuatazo: –

 1. Changa kupitia Mtandao wa Intaneti
 2. Changa kupitia cheki
 3. Changa kupitia Simu za Mkono
 4. Changa Mali Ghafi

Changa kupitia Mtandao wa Intaneti

Unaweza kuchanga kwa usalama kupitia PayPal kutumia kadi yako ya benki. Fuata KIUNGANISHI kifuatacho
paypal

Changa kupitia cheki

Ili kuchanga kupitia cheki, twaomba ufuate maagizo yafuatayo:-

 1. Andika cheki kwa jina la ‘Africa Nature Organization’
 2. Tuma checki kwa

Africa Nature Organization
S.L.P 2227-80100, Mombasa,
Kenya

Changa Kupitia Simu ya Mkono

mpesa-logoChanga Kupitia MPESA
 1. Nenda kwa menu ya MPESA kwa simu yako, Chagua Lipa na MPesa
 2. Chagua Lipa Bili yako
 3. Weka namba ya biashara 537888
 4. Kwa namba ya akaunti, weka jina lako
 5. Jaza kiwango cha fedha
 6. Weka PIN yako na Utume
logo-airtelmoney130Changa Kupitia Airtel Money
 • Nenda kwa menu ya Airtel Money kwa simu yako, Chagua Tuma Pesa,
 • Weka namba ya simu 0780 127 800
 • Jaza kiwango cha fedha
 • Weka PIN yako
 • Kwa kumbukumbu rejea jaza ‘Mchango’

Changa Mali Ghafi

Ili kuchanga mali ghafi, tunaomba uwasiliane nasi kupitia barua pepe: –

give@africanature.or.ke
Kichwa cha Barua Pepe: Mchango wa Mali Ghafi