Fanya Ununuzi Kusaidia Uhifadhi

Kununua bidhaa kutoka kwa duka letu ni kusaidia juhudu zetu za uhifadhi na kusaidia jamii mashinani kujikimu kimaisha. Bidhaa zilizo kwa duka zimechaguliwa muhusan kusaidia watu binafsi, familia na jamii kwa ujumla kushiriki kikamilifu katika juhudi za uhifadhi ama kusaidia moja kwa moja wakuzaji na wazalishaji bidhaa zilizozalishwa kuambatana na mbinu bora za kimazingira kupata mapato.