Lipa na MPesa

mpesa-lipa

Jinsi Ya kulipa na Lipa Na MPesa (Safaricom)

Our Till Number is 917236

  • Nenda kwa menu ya MPESA kwa simu yako, ‘Lipa na M-Pesa‘ Chagua ‘Buy Goods and Services
  • Weka namba ya biashara ‘Till Number’ ‘917236
  • Jaza kiwango cha fedha (kati ya Ksh. 50 – Ksh 70,000)
  • Weka PIN yako na Utume