Husika

njoro-kubwa-web

Majukwa Yetu

Shirika la Africa Nature limeunda majukwa ili kuongeza uhusiano na juhudi za ushirikiano na wadau wake. Majukwaa haya ni People4Nature Global, Mtandao wa Kimataifa wa Wataalam wa Maji (iNoWPractice), Anzisho la Jamii la Kuongeza Ugavi wa Manufaa ya Rasili Mali za Ki-biolojia Africa (Africa.II.ABS).

Fuata KIUNGANISHI kwa maelezo zaidi

Ushiriki

Shirika la Africa Nature linakaribisha mashirika yenye maono na wajibu sawia kuweza kushirikiana nao. Tunaomba uweze kuwasiliana nasi
Bonyeza hapa kujiandikisha kama Mshirikishi

Jitolee

Shirika la Africa Nature linathamini usaidizi utokao na watu binafsi wanaojitolea kutoa ujuzi, elimu na wakati wao ili kutekeleza kazi na shughuli za Africa Nature bila malipo ama kwa usaidizi kidogo wa fedha.

Fuata KIUNGANISHI kwa maelezo zaidi

Kijarida

Unaweza jiandikisha ili upate kijarida chetu cha mara nne kila mwaka

Fuata KIUNGANISHI hiki kujiandikisha;

Ama kutuma barua ama barua pepe kwa: –

Vital Conservation Voices,
Africa Nature Organization,
P.O Box 45208-00100,
NAIROBI.
Email: news@africanature.or.ke

Duka Letu

Unaweza kuunga mkono juhudu zetu za uhifadhi kwa kununua bidhaa na vifaa vinavyo saidia kulinda mazingira yetu. Duka hili pia linatumilka kama jukwaa la mauzo kusaidia jamii kufikia soko kwa bidhaa zilizozalishwa kwa kuzingatia mbinu bora za kimazingira.

Nunua Sasa