muilti-purpose-solar-lamp-sml

Kifaa Mseto cha Sola

KSh6,000.00

SKU: ANSE001 Category:

Product Description

Kifaa hiki ni mseto wa vifaa vya sola yenye paneli ya sola, glopu tatu za nguvu, sehemu ya kuchaji rununu, waya za kuchajia simu mbalimbali, redio, tochi na betri. Ina umeme wa masaa 18 baada ya kuchaji kwa masaa 8.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kifaa Mseto cha Sola”

Your email address will not be published. Required fields are marked *