solar-torch-sml

Tochi ya Sola

KSh1,200.00

Ni tochi na kandili.

SKU: ANST001 Category:

Product Description

Bidhaa hii ni tochi na kandili. Inaweza chajiwa kwa kuzungusha mpini, sola ama umeme wa kawaida. Muda wa mwangaza: Kandili – Masaa 1.75 na tochi masaa 4. Kuzungusha mpini kwa dakika moja kunaongeza mwangaza wa dakika 11.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tochi ya Sola”

Your email address will not be published. Required fields are marked *