Washirika Wetu

communities-web

Jamii Mashinani

Jamii wanaoishi pamoja ama kandokando ya mbunga za wanyama pori, maeneo lowevu, misitu pamoja na mifumo ya ikolojia ya mashambani na mijini.

Mashirika ya Kiserikali

  • Shirika la Misitu Kenya (KFS),
  • Shirika la Serikali la Usimamizi wa Samaki
  • Shirika la Utafiti wa Bahari na Samaki Kenya (KEMFRI
  • Shirika la Wanyamapori Kenya (KWS)
  • Halimashauri ya Usimamizi wa Rasilimali ya Maji Kenya (WRMA),
  • Shirika la Turathi za Kitaifa Kenya

Wafadhili

  • Hazina ya Kimataifa ya Mazingira (GEF)
  • Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).

Jaza fomu ifuatayo ili uweze kuwa mshiriki wetu:

Jina la Shirika*
Wajibu wa Shirika
Anuani (Mahali)
Contact Person*
Barua Pepe*
Maulizo/Sehemu za Kushirikiana