Mawasiliano ya taarifa za uhifadhi kwa washika dau ni muhimu katika kuwahusisha katika juhudi za uhifadhi. Mawasiliano ya taarifa za uhifadhi hutia moyo wadau kwa kupitia:

  • Jarida la kila robo mwaka la Watu Mazingira,
  • Utengezaji na usambazaji wa filamu fupi kuhusu uhifadhi,
  • Utengezaji wa vifaa vya elimu, habari na mawasiliano.