ELIMU YA MAZINGIRA NA UFAHAMU

Kampeni za kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu mazingira zimejulikana kubadisha tabia na mtazamo wa wadau kuhusu mazingira na mali asili. Kampeni za Shirika la Africa Nature Organization zinalenga vijana na wazee kupitia mpango wa vijana (Young People4Nature), maonyesho, uadhimishaji wa siku za kimataifa za mazingira, kutembeleana, warsha za mafundisho