0
Your Cart
No products in the cart.

Uhifadhi Unaoongozwa na Biashara (ECO)

Biashara zinazo Boresha Mazingira

Enterprise-Led-Conservation

Jamii kwa miaka mingi zimetegemea maliasili kwa chumo riziki zao. Hata hivyo, kutokana na kupungua kwa maliasili kwa sababu ya uvunaji kwa madhumuni ya biashara, ongezeko la watu na mabadiliko ya tabianchi, jamii zimenaswa katika gurudumo la kuharibu mazingira na maliasili ili kujikimu. 

Ili kukomesha hali hii zorotefu, Shirika la Africa Nature Organization linafanya kazi na jamii mashinani ili kuwawezesha na ujuzi wa biashara endelevu ili kuanzisha biashara zinazo boresha mazingira na kuziunganisha na masoko.

Chapisho za Hivi Karibuni

swSwahili