0
Your Cart
No products in the cart.

Kazi Yetu

Kuimarisha usimamizi endelevu wa mazingira na maliasili

Mbinu Yetu

Kufanya kazi na jamii mashinani, mashirika yasiyo ya kiserikali, sekta binafsi na Serikali.

Watu Mazingira

Kuongeza ushirikiano wetu na watu binafsi duniani kote katika kutafuta suluhu.
Hadithi yetu

Usimamizi Endelevu wa Maliasili Barani Afrika

Haja ya kuwa na shirika la msingi ambalo litasaidia jamii kote barani Afrika kuchangia katika usimamizi endelevu wa maliasili lilikuwa ni wazo lililotokana na mjadala wa kikundi cha watendaji wa usimamizi wa mazingira na maliasili waliokusanyika Arusha Tanzania mwaka 2010. Wazo hilo lilitolewa baadaye, ilishirikiwa na watu wengine wenye nia moja na ikafikia kilele chake katika kuunda na kusajiliwa kwa Jumuiya ya Mazingira ya Afrika kama Shirika Lisilo la Kiserikali katika Siku ya Ardhi Oevu Duniani, tarehe 2 Februari 2012.
The idea was subsequently shared with other like-minded individuals and culminated in the formation and subsequent registration of Africa Nature Organization as Non-Governmental Organization on the World Wetlands Day, 2nd February 2012.
Kazi Yetu

Hivi ndivyo tunavyohifadhi na kulinda mazingira

Free quote

Get an insurance quote to get started

  Limits of Balance:

  $68000

   Limits of Balance:

   $68000

    Limits of Balance:

    $68000
    11 miaka
    katika uhifadhi
    90 Asili mia ya
    juhudi zetu zinalenga kutafuta suluhu endelevu za kimazingira kwa changamoto za binAdam.
    Zaidi ya 900
    Wanachama wa Watu Mazingira katika nchi 17 ulimwenguni
    Zaidi ya 400
    Biashara zinazo boresha mazingira zilizo saidiwa.

    Jihusishe

    Haijalishi kama una umri gani, unakoishi, ama kama una uweza kutoa mchango.

    Una uwezo wa kubadilisha uharibifu wa mazingira unaoendelea ulimwenguni na unaweza anza SASA!

    Jiunge na Watu Mazingira SASA!

    Jisajili leo na uwe mwanachama wa People4Nature Global!

    Kuwa MFADHILI!

    Saidia kazi yetu na utuwezeshe kushughulikia mifumo zaidi ya ikolojia na watu.

    Nunua SASA!

    Nunua bidhaa kutoka kwa duka letu na usaidie mipango mbalimbali ya uhifadhi.
    Company benefits

    We inspire & help our customers

    Magna pharetra

    Etiam id porta

    Lorem Ipsum is simply dummy text of free available in market the printing and typesetting industry has been the industry’s standard dummy text ever.

    Certified

    Magna aliqa enim sed ipsum nisi ainy veniam quis.

    Protect your life

    Magna aliqa enim sed ipsum nisi ainy veniam quis.

    Insurance policy

    Magna aliqa enim sed ipsum nisi ainy veniam quis.

    HABARI ZA HIVI MAJUZI

    Habari na Makala za Hivi Punde

    QUISEQUE VEL ORTOR

    Start reporting or tracking your claims

    swSwahili