Uhifadhi wa Spishi na Makazi (Hifadhi)
Uhifadhi wa Spishi na Makazi
Huku tisho la kuangamia kwa spishi na makazi yake kukichochewa na mabadiliko ya tabianchi, Shirika la Afrika Nature Organization limechukua jukumu maalum la kuhifadhi spishi na makazi yake kupitia ukarabati, urejeshaji upya na ulinzi.
Upanzi wa miti katika nchi kavu, upanzi wa matumbawe katika mifumo ikolojia ya bahari, ujenzi wa kuta, utengezaji wa mipango ya usimamizi, usaidizi kwa walinzi wa jamii wanaolinda na kufuatizia spishi na makazi, ni baadhi ya shughuli zinazo tekelezwa ili kupunguza athari ya kuangamia kwa spishi na makazi yake.
Chapisho za Hivi Karibuni
Africa Nature OrganizationMaoni
Mwana Jamii Asili Halisi!
Africa Nature OrganizationMaoni
Mwana Jamii Asili Halisi!
Africa Nature OrganizationMaoni